Karibu kwenye raslimali ya mafunzo ya FRI

Viwango wastani (F.A.I.R.) vya watangazaji kwa vipindi vya ukulima

August 6, 2016

Watangazaji huhudumia wasikilizaji vizuri zaidi kupitia vipindi vya redio wakati wanapozungumzia kuhusu ujumbe ulio sahihi na mada inayoeleweka. Kwa mfano – wakati wa kupanda, jinsi ya kuchanganya mbolea, na mtu wa kupigia simu iwapo kuna changamoto fulani. Watangazaji pia huhudumia wasilizaji vizuri zaidi wanapowasilisha pande zote za swala lenye utata. Wasikilizaji huzawadi stesheni – ya redio inayoaminika- inayotoa ujumbe sahihi na mtazamo mbali mbali – wa mawazo kwa uaminifu.

Soma zaidi

Tafuta

Panga makundi kwa

Oanda

Zaidi ya vituo 1,000 vya redio barani Afrika hupata fursa za kujifunza na kutumia rasilimali zetu za mafunzo . Na wanakuwa wadau watangazaji