Chanzo
Jinsi watangazaji wanaweza kukaa salama wakati wa janga la ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)
Ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) ni nini? Ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vipya vya corona. Ugonjwa huu ulianzia Wuhan, China mwezi wa December mwaka 2019 na kusambaa kwa haraka sana duniani. Mnamo mwezi March 2020, Shirika la Afya Ulimwenguni lilitangaza ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)…
Read MoreMahojiano na wataalamu: Utendaji mzuri kwa waandishi wa habari na wataalamu
Kufanya mahojiano na wataalamu kunaongeza mengi katika kipindi chako cha kilimo. Inawapatia wasikilizaji taarifa za kuaminika. Usisahau pia baadhi ya wakulima ni Wataalamu pia.
Read MoreF.A.I.R. viwango bora vya uandishi wa vipindi vya kilimo kwa waandishi wa habari
Watangazaji wanaweza kuwahudumia wasikilizaji vyema endapo vipindi vyao vinatoa taarifa fasaha juu ya mada husika—kama muda wa kupanda au muda wa kutumia mbolea , au jinsi ya kuchanganya mbolea, au nani wa kumpigia wakati wa dharura.
Read MoreJinsi ya kuwafikia wanawake wakulima vizuri
Hivyo wanawake ni watu muhimu katika kukua na kuendelea kwa familia. Kwahivyo ni muhimu kwa vipindi vya kilimo –kuwahudumia wakulima wa jinsi zote wanawake pamoja na wanaume.
Read MoreUmuhimu wa masimulizi katika programu yako ya mkulima
Redio imejikita katika utamaduni wa masimulizi ya mdomo. Watangazaji hupenda kujiita kuwa ni wasimiliaji wazuri wa hadithi, na ni kwa kusimulia hadithi ndipo tunaweza kuteka na kushikilia umakini wa wasikilizaji wetu. Vipande vyote vya habari lazima viwe na masimulizi, iwe ni drama, mahojiano, majadiliano au namna nyingine. Waraka huu wa habari wa mtangazaji unapambanua vipengele vya msingi vya hadithi, huonesha vitu vya kuzingatia juu ya ubora wa hadithi makini, huonesha mfano mmoja wa hadithi, na kumaliza na dondoo chache juu ya usimulizi wa hadithi.
Read MoreMuundo wa Redio
Programu ya redio ya mkulima inatumia miundo mingi. Makala hii ya taarifa inakupa orodha ya miundo muhimu ya kuzingatia kwa programu yako. Inatoa kwa kifupi kwa kila muundo na kutoa mapendekezo ni tarifa gani inayofaa na bora kwa mawasiliano, au ni jinsi gani muundo unawatia moyo wasikilizaji kujihusisha.
Read More