Guide
Kuhoji wataalamu: Operesheni bora Zaidi kwa watangazaji na wataalamu
Kuhoji wataalamu hufaidi Zaidi vipindi vya wakulima kwenye redio. Hupatia wakulima ujumbe wa kutegemewa kutoka kwa vyanzo madhubuti. Usisahau kuwa baadhi ya wakulima ni wataalamu pia.
Read MoreViwango wastani (F.A.I.R.) vya watangazaji kwa vipindi vya ukulima
Watangazaji huhudumia wasikilizaji vizuri zaidi kupitia vipindi vya redio wakati wanapozungumzia kuhusu ujumbe ulio sahihi na mada inayoeleweka. Kwa mfano – wakati wa kupanda, jinsi ya kuchanganya mbolea, na mtu wa kupigia simu iwapo kuna changamoto fulani. Watangazaji pia huhudumia wasilizaji vizuri zaidi wanapowasilisha pande zote za swala lenye utata. Wasikilizaji huzawadi stesheni – ya redio inayoaminika- inayotoa ujumbe sahihi na mtazamo mbali mbali – wa mawazo kwa uaminifu.
Read MoreJinsi ya kuhudumia wakulima wa kike vizuri
Hii leo, tunafahamu kuwa wanawake hufanya kazi ya kilimo sawa na wanaume kwenye mashamba madogo madogo. Wao pia hulea jamii zao na kutunza watoto na waliozeeka.
Read More