Posts Tagged ‘Journalism skills’
Kufanya kazi kwa kuzingatia umbali kama mtangazaji wa redio
Wakati mwingine, watangazaji wa redio hawawezi kuripoti habari kwenye eneo la tukio au kwa kukutana uso kwa uso na watu wanaohusika. Hii ni kweli hasa wakati huu wa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) wakati serikali ulimwenguni kote zimetunga sera ambazo zinahitaji watu kuweka umbali wa mita moja kutoka kwa kila mtu isipokuwa wale wa nyumbani kwao ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi.
Read MoreHabari za kughushi: Jinsi ya kuzitambua na nini cha kufanya juu yake
The New York Times defines “fake news” as made-up stories with the intention to deceive, often geared toward getting clicks.
Read MoreJinsi watangazaji wanaweza kukaa salama wakati wa janga la ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)
Ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) ni nini? Ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vipya vya corona. Ugonjwa huu ulianzia Wuhan, China mwezi wa December mwaka 2019 na kusambaa kwa haraka sana duniani. Mnamo mwezi March 2020, Shirika la Afya Ulimwenguni lilitangaza ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19)…
Read MoreMahojiano na wataalamu: Utendaji mzuri kwa waandishi wa habari na wataalamu
Kufanya mahojiano na wataalamu kunaongeza mengi katika kipindi chako cha kilimo. Inawapatia wasikilizaji taarifa za kuaminika. Usisahau pia baadhi ya wakulima ni Wataalamu pia.
Read MoreUmuhimu wa masimulizi katika programu yako ya mkulima
Redio imejikita katika utamaduni wa masimulizi ya mdomo. Watangazaji hupenda kujiita kuwa ni wasimiliaji wazuri wa hadithi, na ni kwa kusimulia hadithi ndipo tunaweza kuteka na kushikilia umakini wa wasikilizaji wetu. Vipande vyote vya habari lazima viwe na masimulizi, iwe ni drama, mahojiano, majadiliano au namna nyingine. Waraka huu wa habari wa mtangazaji unapambanua vipengele vya msingi vya hadithi, huonesha vitu vya kuzingatia juu ya ubora wa hadithi makini, huonesha mfano mmoja wa hadithi, na kumaliza na dondoo chache juu ya usimulizi wa hadithi.
Read More