Posts Tagged ‘Ujuzi wa kiufundi’
Kutumia majukwaa ya kwenye mtandao kwa utangazaji ukiwa mbali na studio
Wakati mwingine inaweza kuwa ngumu kwa watangazaji wa redio kukutana ana kwa ana na watu wa kuwafanyia mahojiano kwasababu mbalimbali ambazo zinaweza kuwa za kifedha au mipangilio ikijumuisha ukosefu wa muda. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa kadhaa ya mtandaoni ambayo watangazaji wanaweza kutumia.
Read More